WAO si walipanda fuso? Ndilo lilikuwa swali lililotawala midomoni mwa maelfu ya mashabiki wa Simba waliojitokeza kuipokea ...
DAKIKA 40 tu zimetosha kubadilisha hali ya hewa ya Jangwani jijini Dar es Salaam, baada ya Simba kufanya paredi la ...
"Shangwe za Kombe la Dunia tayari zinapitia mitaa ya Doha!" Hivi ndivyo Kamati kuu inayoratibu michuano Qatar, wiki moja kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia, lililopangwa kufanyika Novemba 20. Kulikuwa ...
Kombe la Dunia la Vilabu lililoboreshwa lilianza wiki moja iliyopita lakini bado haijabainika ikiwa shirikisho la kandanda dunaini FIFA linaweza kuzingatia muundo huo mpya kuwa wa mafanikio. Mpaka ...
Arsene Wenger aliaga uwanja aliosaidia kuujenga wa Emirates kwa ushindi, sawa na alivyofanya alipoanza kazi kama meneja wa Arsenal siku 7,876 zilizopita. Alishuhudia vijana wake akicharaza Burnely 5-0 ...
Nairobi, Kenya – Baada ya kuonyesha kiwango cha kuvutia kwenye michuano ya CHAN 2024 iliyomalizika hivi karibuni jijini Nairobi, timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars, sasa inageuza mkondo wake ...
Nairobi, Kenya – Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) mwaka huu nchini Kenya yamekumbwa na taharuki kubwa ya kiusalama baada ya tukio la mashabiki kuvamia uwanja wa ...
Senegal mabingwa wa Afrika, lakini mashabiki kutoka nchini humo wamepigwa marufuku kusafiri kwenda Marekani kwa Kombe la Dunia. Wao si waathiriwa pekee, uhasama wa Donald Trump na bei za tiketi za ...
Mashabiki wa timu za Afrika katika Kombe la Dunia la FIFA 2026, walipata pigo kubwa katika siku ya 20 na 21 ya michuano hiyo.
Mashindano ya soka ya Kombe la Dunia kwa upande wa wanaume yanatarajiwa kuanza wiki ijayo. Marekani, Canada na Mexico zinaandaa mashindano hayo na zinatarajiwa kuwakaribisha mamilioni ya mashabiki.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results