Watu kadhaa wamefariki na wengine wengi wamejeruhiwa vibaya baada ya kemikali kuvuja katika kiwanda kilicho katika jimbo la ...
Mfululizo wa mashambulizi na uhalifu unaowalenga watu wenye ulemavu wa ngozi umesababisha kukamatwa kwa watu wapatao kumi.
Shirika la Afya Duniani, WHO, limesema zaidi ya watu 900 wanashukiwa kuwa wameambukizwa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Msemaji wa polisi wa eneo hilo, Lydia Tumushabe, amepinga kauli hizo akisisitiza kuwa polisi walilazimika kutumia nguvu kwa kujilinda baada ya kile alichokitaja kama shambulio la “kundi la wahuni wa ...
Angalau watu 24 wameuawa leo Jumapili katika shambulio la bomu kwenye treni iliyokuwa imewabeba wanajeshi katika jimbo lenye ...
Ulaji wa watu ni jambo ambalo huwahofisha watu wengi lakini ni kitu ambacho kimeripotiwa kuendelea katika sehemu mbali mbali za dunia kwa sababu mbali mbali . Hivi maajuzi imeripotiwa kwamba kuna ...
Shambulio la droni nje kidogo ya Moscow limeripotiwa kusababisha vifo vya watu wasiopungua watatu. Katika taarifa kwenye ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results