Urusi leo imeanza mazoezi makubwa ya kijeshi, mashariki mwa Siberia yanayotajwa kuwa ni makubwa zaidi kuwahi kutokea katika historia ya taifa hilo. Katika mazoezi hayo vikosi hivyo vya kijeshi ...
Zoezi la kuwarejesha Burundi wakimbizi wa nchi hiyo walioko kwenye kambi za wakimbizi nchini Tanzania linaendelea, licha ya kukukutana na ukinzani mkubwa kutoka kwa baadhi ya wakimbizi wasiotaka ...
Zoezi la uchukuaji wa fomu za wanaowania ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM), limekamilika huku idadi ya waliochukua fomu ikitajwa kuwa ni watu 4109 upande wa bara na visiwani, idadi inayotajwa ...
Tanzania inafanya zoezi lasensa ya watu na makaazi itakayoendelea kwa muda siku saba, huku Rais Samia Suluhu Hassan akiwa miongoni mwa viongozi waliokwishahesabiwa mapema kabisa. Rais Samia amewatolea ...
Nchini Kenya, leo ni siku ya mapumziko maalum ya kitaifa yanayolenga kutoa nafasi kwa raia wa taifa hilo la Afrika Mashairiki kushirki zoezi la upanzi wa miti. Serikali ya Kenya inalenga kuafikia ...