China imesema Jumatatu kwamba inapinga hatua yoyote ya nchi ya kigeni inayomlenga Kiongozi Mkuu mpya wa Iran, Mojtaba Khamenei. "China inapinga kuingiliwa kwa mambo yoyote ya ndani ya nchi nyingine, ...
Taarifa za serikali na maafisa wa usalama zinaonyesha vifo vingi vimetokea nchini Iran na Lebanon, na kiasi Israel huku mashambulizi pia yakileta athari pia katika nchi za Kuwait, Bahrain na Umoja wa ...
Maelfu ya Waumini wa Kanisa Katoliki walikusanyika katika Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican kumuaga Baba Mtakatifu Francisko. Jeneza lake liliwekwa kanisani siku ya Jumatano, kufuatia ...