Wasichana zaidi ya 13,000 waliokuwa wamekatisha masomo yao, wamerejeshwa kuendelea na elimu ya sekondari ndani ya miaka minne kupitia vituo vya elimu ya sekondari kwa njia mbadala. Naibu Katibu Mkuu ...
Kituo cha Kimbilio Salama (Kimbilio Women Center) kilichopo chini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Morogoro, kimefanikiwa kuwaokoa wasichana takribani 89 waliokuwa ...